Sunday, April 24, 2011

Dada Sauda Birthday

Sauda akitimiza mwaka 1 wana Mansoor kama kawa bila kukosa walijumuika pale Kijitonyama kufanikisha mashamsham ya siku hii adhim..
Cake ya Ukweenh....



Nyama Mbona haziji..


Full Kujiachia

Kumbe soda nayo Vuvuzela...
Wazee wa Kitengo cha lawama....

Dada nini tena?
                                          
Chuchuchu...


Binti mapozi mbele ya menu


Daada dada huyo





Jomba huyo...




full kucheza

No comments:

Post a Comment